Search

EATV Competition

Jenga na Ujenzi Show.

Jishindie zawadi kwenye kipindi chako cha Ujenzi.

Kila Jumatatu, usiache kuangali kipindi chako cha Ujenzi saa 3 usiku kwenye EATV na utapata nafasi ya kujishindia tenki la maji (Ujazo wa lita 4,000) au Kujishindia ndoo 4 za rangi (lita 80).
 
Jenga na Ujenzi show itaweza kukusaidia wewe kupunduza gharama zako za ujenzi maana ukishinda tenki utakwepa gharama sio chini ya laki 6 na ukishinda rangi utakuwa umebana gharama karibia laki 1

Usikose kuangalia Ujenzi na kujibu swali utakalo ulizwa na mtangazaji. Mtu wa kwanza kutuma majibu yake sahihi atakuwa mshindi. Kila wiki zawadi itatolewa na washindi watatajwa, kwa hiyo usikose kuangalia ili kujua kama umeshinda. 

Unaongoja nini, jishindie kwenye kipindi chako cha Ujenzi kila Jumatatu saa 3 usiku kupitia EATV pekee.  

Vigezo na masharti kuzingatiwa.

CLOSED

 Prime Time

18 55
  KURASA
19 00
20 00
  URBAN HEAT
20 30
20 55
  MUHTASARI WA MICHEZO
21 00
  URBAN HEAT
22 30
  JUMP OFF
23 05
  CARIBBEAN HITS