Search

EATV Competition

Power Jams Show - Free Nokia

Sasa unaweza kujishindia zawadi za Nokia kwenye kipindi cha Power Jams cha East Africa Radio katika promoshen ya Nokia Dabo Dabo. Nokia goodie bag inakuja na simu original ya Nokia ambayo inaingiza sim kadi 2 (Nokia X1-01), mpira wa miguu, t-shirt na begi la kuweka vyote hivi.

Kushiriki ni rahisi sana, sikiliza kipindi na ujibu sahihi swali atakalokuuliza Anna Peter au Sam Misago. Ukishinda utapewa maelekezo ya kupata zawadi zako.

Ili na wewe ujishindie, sikiliza Power Jams Show ya East Africa Radio kila siku, kwanzia Jumatatu hadi Ijumaa (saa 7 mchana - saa 10 jioni).

Vigezo na masharti kuzingatiwa.

CLOSED

 Prime Time

18 55
  KURASA
19 00
20 00
  URBAN HEAT
20 30
20 55
  MUHTASARI WA MICHEZO
21 00
  URBAN HEAT
22 30
  JUMP OFF
23 05
  CARIBBEAN HITS