Date:
Jumatatu , 31st Mar , 2014 to Alhamisi , 3rd Apr , 2014
Status:
Closed
Shinda tiketi 2 za kwenda kuwaona Mafikizolo Live!
Ni rahisi sana!!!
Siku nzima sikiliza East Africa Radio na ukisikia nyimbo 2 za Mafikizolo mfululizo (zikifuatana), unaweza kushinda tiketi 2 za kwenda kuwashuhudia Mafikizolo, Jumamosi hii.
Mara tuu usikiapo nyimbo 2 za Mafikizolo zimepigwa kwa mfululizo “Double Play”, piga simu kwenye kipindi hewani na inaweza kuwa bahati yako ya kunyakua tiketi 2 za kwenda kuwaona Mafikizolo wakifanya yao
Kila la kheri na sikiliza East Africa Radio kupata nafasi ya kushinda!!!