Jumatano , 18th Oct , 2017

Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Antipas Lissu, ameongea na watanzania kwa mara ya kwanza tangu apigwe risasi, na kusema kuwa kama isingekuwa Mungu, maisha yake yangeishia Dodoma.

Akiongea kutoka kwenye kitanda cha hospitali alikolazwa jijini Nairobi, Tundu Lissu amesema anamshukuru Mungu na watanzania wote waliokwenda kumuona na kumuombea.

Msikilize hapa chini