Jumatano , 10th Aug , 2022

Waziri wa Elimu nchini Kenya George Magoha, ametangaza kuwa shule nchini humo zitafunguliwa tena Jumatatu ya Agosti 15 badala ya kesho Agosti 11, 2022, kutokana na kuendelea kwa zoezi la uhesabuji wa kura.

Waziri wa Elimu nchini Kenya, George Magoha

Magoha amesema Wizara imefahamishwa kuwa huenda mchakato wa kujumlisha kura ukaendelea hadi kesho Agosti 11, tarehe ambayo shule zingefunguliwa