Jumatatu , 21st Aug , 2017

Tume ya Uchaguzi (NEC) imefanya uteuzi wa Madiwani 12 wanawake wa viti maalum baada ya kukaa kikao chake na kushauriana na Vyama vya Siasa kujaza nafasi zilizokuwa wazi za Madiwani katika Halmashauri mbalimbali Tanzania Bara.

Nembo ya Tume ya Uchaguzi (NEC).

Uteuzi huu umefanyika leo baada ya kupokea taarifa kutoka kwa Waziri mwenye dhamana ya serikali za Mitaa ambaye kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 13(1) cha Sheria ya Uchaguzi ya serikali za Mitaa, Sura ya 292 aliitaarifu Tume ya Taifa ya Uchaguzi uwepo wa nafasi hizo zilizokuwa wazi.

Madiwani Wanawake wa Viti Maalumu walioteuliwa ni kama ifuatavyo: