Jumanne , 1st Dec , 2020

Rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi, amefanya uteuzi wa wakuu wa mikoa watano.

Rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi

1. Salama Mbarouk Khatibu - Mkoa wa Kaskazini Pemba
2. Rashid Hadid Rashid - Mkoa wa Kusini Unguja
3. Ayoub Mohamed Mahmoud - Mkoa wa Kaskazini Unguja
4. Isrisa Kitwana Mustafa - Mkoa wa Mjini Magharibi
5. Mattar Zahor Masoud - Mkoa wa Kusini Pemba

Uteuzi huo umeanza leo Desemba 1, 2020.
 

Taarifa ya Ikulu Zanzibar

 

Tazama Video ya mikoa hiyo hapo chini