Search

Entertainment News

Steve kuachia muvi

Msanii Steve Nyerere ambaye hivi sasa ameonyesha kujikita katika filamu za uhalisia, hususani zenye mrengo wa kisiasa,anatarajiwa kuzindua filamu yake mpya inayokwenda kwa jina Respect Nyerere tarehe 14 Februari mwaka huu.

Filamu hii itahusisha baadhi matukio au mambo yatokanayo na maisha ya Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Steve Nyerere ambaye hivi karibuni alitoa filamu ya Mr. President, inayohusu matukio na maisha ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete, amesema filamu ya Respect Nyerere itazinduliwa jijini Dar-es-salaam.

Print

More Entertainment News

Leo ndio ile siku kubwa kwa wakazi wa Mji wa Mbeya na vitongoji vyake kutokana ujio mkubwa wa washindi wa Tuzo za Muziki za Kilimanjaro kwa mwaka 2012 kwa ajili ya kudondosha bonge la onyesho kwa mashabiki more
Mwanadada kutoka Uganda, Fyonna Nsubuga anayefanya vizuri muziki huko Ulaya anatarajia kufanya onyesho kubwa kabisa jijini London tarehe 2 mwezi Juni katika ukumbi mmoja maarufu wa starehe. Fyonna atakuwa more
Maonyesho ya nguo za kiswahili ya 'Swahili Fashion Week', yamepangwa kufanyika Novemba 8 jijini Dar es Salaam na Septemba Mosi mwaka huu jijini Arusha. Maonyesho hayo, ambayo yanakwenda sambamba na more
Wanandoa wapya kabisa 2Face Idibia pamoja na Annie Macaulay wameamua kufanya makazi ya muda huko 6th Avenue,Festac Town, jijini Lagos kwa ajili ya fungate yao, baada ya kumaliza shughuli ya ndoa yao ya more
Msanii anayepanda chati kwa kasi kutoka nchini Ghana, Kwame Boateng ameungana na waigizaji nyota wa Hollywood wa New Black Spaghetti Western katika kazi nzuri kabisa inayofahamika kama “They Die more
Msanii nyota wa filamu nchini, Juma Kilowoko 'Sajuki'ambaye kwa kipindi kirefu sasa hali yake imezorota kutokana na kusumbuliwa na maradhi yaliyodaiwa yanatokana na uvimbe kwenye ini amewasili nchini more
Mshiriki kutoka shindano kubwa kabisa la kusaka vipaji Afrika Mashariki, Amileena amethibitisha kuwa kweli kazi ya burudani anaiweza hasa baada ya kuendelea vizuri na mchakato wa kutengeneza video yake more
Mkali aliyeiteka Afrika kwa miondoko ya Kwaito kutoka Afrika Kusini hasa kwa ngoma yake inayofahamika kama Facebook, Dj Cleo anatarajia kutua nchini Kenya kwa onyesho kubwa kabisa ambalo sasa lipo katika more
Msanii mkali aliyeibuka hivi karibuni kutoka Naigeria, Davido ameshirikiana pamoja na mwanamuziki na mjasiriamali wa kimataifa, Akon katika kufanya remix ya ngoma yake maarufu inayosimama kwa jina 'Dami more
Taarifa zimefichua kuwa mwigizaji Nadia Buari wa nchini Ghana mwenye rekodi ya kujinyakulia tuzo mbalimbali kutokana na umahiri wake katika kazi, kwa sasa yupo katika shule ya Uigizaji huko Hollywood Marekani more
News Poll

 Prime Time

18 55
  KURASA
19 00
20 00
  URBAN HEAT
20 30
20 55
  MUHTASARI WA MICHEZO
21 00
  URBAN HEAT
22 30
  JUMP OFF
23 05
  CARIBBEAN HITS

 EATV Shows