Davido amuanika mwanae hadharani

Saturday , 15th Jul , 2017

Kila mtu anajua kwamba mwanamuziki Davido, ana watoto wawili, lakini wengi walikuwa hajaona sura ya mtoto wake wa pili Hailey.

Hata hivyo, juzi Davido amewashtua mashabiki wake baada ya kuweka picha ya mtoto wake huyo katika akaunti yake ya Snapchat.

Mtoto huyo alivalishwa gauni rangi nyeupe mchanganyiko na kuwekwa maua kichwani, jambo ambalo liliwavutia mashabiki wake wengi.

Recent Posts