Ijumaa , 15th Oct , 2021

Msanii wa filamu Husna Sajenti anasema yeye ndio mwanamke mzuri BongoMovie nzima na hajaona mwingine wa kumshtua kuanzia shepu mpaka sura kwa sababu anajiona kama Beyonce au Jennifer Lopez.

Msanii wa filamu Husna Sajenti

Zaidi mtazame hapa kwenye video akijimwambafai zaidi.