Ijumaa , 15th Oct , 2021

Msanii Liah kutoka lebo ya Ts Gang chini ya Producer Mesen Selekta, anadai kuibiwa verse na melody kwenye wimbo wake wa doa na msanii Alikiba katika wimbo wa sitaki tena ambayo inapatikana kwenye Album yake ya Only One King.

Kulia ni msanii Liah kushoto Alikiba

Liah anasema yeye ndio wa kwanza kufanya wimbo huo ambao aliuachia miaka miwili iliyopita kwenye mtandao wa Youtube na anachotaka ni haki itendeke kwenye suala hilo.

Zaidi mtazame hapa kwenye video akizungumzia hilo.