Nitaendelea kuigiza mpaka nakufa - Majuto

Wednesday , 11th Jan , 2017

Muigizaji wa filamu za vichekesho nchini Amri Athumani maarufu kama 'Mzee Majuto' ambaye mwaka jana aliwahi kutangaza kuacha uigizaji na kumrudia Mungu amefunguka na kusema kuwa ataendelea kuigiza mpaka anakufa kwa sababu uigizaji upo kwenye damu.

Mzee Majuto

Akiongea na EATV Mzee Majuto alisema kuwa yeye hawezi kukubali kuona fani inachezewa chezewa na watoto hivyo ataendelea kuigiza mpaka siku atakayokufa kwa sababu uwezo wake ni wa hali ya juu kwenye kuandika na kuigiza.

"Kuigiza kwangu ni kama maradhi vile hivyo sidhani kama naweza kuacha, siwezi kukaa pembeni sanaa ikawa inachezewa na watoto sitaki kabisa nasema hivi mimi nitaendelea kuigiza mpaka nakufa". Mzee Majuto  

Recent Posts

Entertainment
Nay amjibu Mwakyembe

Wachezaji wa Serengeti Boys wakiwa nchini Gabon

Sport
Malinzi atangaza dira mpya Serengeti Boys

Baadhi ya wachezaji wa Simba katika moja ya mchezo wao wa ligi

Sport
Simba yatoa mchezaji bora wa mwezi Mei

Kikosi cha Kagera Sugar mara baada ya kukabidhiwa medali za mshindi wa tatu

Sport
Nafasi ya tatu yawapagawisha Kagera Sugar