Jumatatu , 19th Oct , 2020

Msanii wa HipHop Roma Mkatoliki aliwahi kusema wasanii wa singeli wanatakiwa waheshimiwe maana wana uwezo kuamrisha umati mkubwa wa mashabiki wanapokuwa pale jukwaani wanafanya show na mashabiki wakatii.

Msanii wa Singeli Sholo Mwamba

Hii imetokea kwenye show maalum ya msanii Ibraah TZ  iliyopewa jina la 'Chinga Day' iliyofayika uwanja wa Mbagala Zakheim ambapo kulikuwa na 'surprise' ya wasanii kibao wa BongoFleva, HipHop na Singeli. 

Ila kitu ambacho amekifanya msanii Sholo Mwamba itabaki kuwa historia maana amefunika wasanii wote walitumbuiza kwenye show hiyo ambayo ilikuwa inaangaliwa na Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete ambaye ndiyo alikuwa mgeni rasmi.

Zaidi tazama hapa chini kwenye video.