VIDEO : Sikuwahi kujua Roma ni msanii

Saturday , 12th Aug , 2017

Mke wa msanii Roma Mkatoliki amefunguka na kusema kuwa kwa mara ya kwanza alikutana na Roma Mkatoliki kwenye sherehe za kumnio na kudai msanii huyo alitambulisha kama Ibrahim na kusema kipindi hicho hakujua kama Roma ni msanii. 

Mke wa Roma Mkatoliki Nancy amesema hayo jana kupitia kipindi cha Friday Night Live (FLN) na kusema alikuja kujua kuwa ni msanii baada ya muda kupita siku ambayo msanii huyo alikuwa na show Coco Beach.

 Mtazame hapa akifunguka zaidi 
 

Recent Posts

Kocha Msaidizi wa Simba, Jackson Mayanja

Sport
Mayanja awatuliza mashabiki wa Simba

Muigizaji mkongwe nchini Jacob Stephen 'JB.

Entertainment
Kilio chetu kimesikika- JB