Jumatano , 6th Jul , 2022

Wakati wengine wakitangaza gharama kubwa walizotumia kwenye kuandaa video zao, msanii wa lebo ya WCB Mbosso ameweka wazi kuwa asilimia 100 ya video ya ngoma yake ya moyo tayari imekamilika na ametumia Tsh Elfu 30 tu.

Picha ya msanii Mbosso

 

"Moyo video loading, nime-shoot kwa shilingi Elfu Thelathini ya Tanzania". ameandika Mbosso 

Msanii Rayvanny alizua gumzo baada ya kutoa taarifa kwamba video yake mpya ya 'Te Quiero' amemgharimu kiasi cha Tsh Milioni 130.