Alhamisi , 21st Aug , 2014

Muongozaji wa video nchini Abbas Adam amerejea nchini na crew nzima ya msanii Wabibi wakitokea jijini Nairobi nchini Kenya kwa ajili ya kutafuta soko la kuutangaza wimbo mpya uliobatizwa jina 'Kitenge' uliomshirikisha Mesen Selekta.

muongozaji wa video nchini Abbas Adam na meneja Tim Adeka

Abbas Adam ameongea na eNewz pia kuhusu kukutana na meneja wa msanii nyota wa kike nchini humo Stella Mwangi, Tim Adeka ambapo hivi sasa wameingia katika mazungumzo ya kufanya kazi na dashosti huyo.