VIDEO: Everton tayari wamewasili Tanzania

Wednesday , 12th Jul , 2017

Klabu ya Everton tayari imewasili Jijini Dar es Salam dakika chache zilizopita ikiwa inatokea nchini Uingereza huku ikiwakosa wachezaji wake watatu muhimu katika kikosi hicho kutokana na majeruhi waliyokuwa nayo.

Waziri mwenye dhamana ya Michezo Dk harrison Mwakyembe akisalimiana na Wayne Rooney.

Pamoja na hayo, timu ya Everton imeongozwa na mchezaji nyota Wayne Rooney pamoja na Davy Klaassen na Michael Keane ambao pia wamejiunga na klabu hivi karibuni.

Kikosi kamili cha Everton kilichotua leo ni Maarten Stekelenburg, Mateusz Hewelt, Chris Renshaw, Tom Davies, Phil Jagielka, Ashley Williams, Callum Connolly, Jonjoe Kenny, Michael Keane, Muhamed Besic, Leighton Baines, Morgan Schneiderlin, James McCarthy, Davy Klaassen.

Wachezaji wa Everton wakitoka nje ya kiwanja cha ndege

Wengine ni Gareth Barry, Idrissa Gana Gueye, Joe Williams, Kieran Dowell, Kevin Mirallas, Wayne Rooney, Aaron Lennon, Dominic Calvert-Lewin, Ademola Lookman, Matthew Pennington, Yannick Bolasie.

Tazama hapa jinsi walivyopokelewa 

Recent Posts

Mkuu wa kitengo cha elimu kwa uma kikosi cha usalama barabarani Mrakibu msaidizi wa Polisi ASP Mossi Ndozero.

Current Affairs
Ukaguzi magari hauna kikomo

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), George Simbachawene.

Current Affairs
Ukosefu wa fedha wasimamisha miradi - Simbachawe

Rais Magufuli

Current Affairs
Rais Magufuli aipongeza TCU

Manahodha wa timu zinazocheza nusu fainali ya pili michuano ya Sprite BBall Kings.

Sport
Makapteni waanza majigambo

Mbunge wa Kigoma Mjini kwa tiketi ya Chama Cha ACT Wazalendo, Mhe Zitto Kabwe.

Current Affairs
Zitto kusomesha bure wanafunzi 541