Jumamosi , 23rd Jul , 2016

Kuelekea msimu ujao wa Ligi kuu ya Soka Tanzania Bara, klabu ya Mbeya City imeendelea kujiimarisha kwa kumsainisha mkataba wa miaka miwili kiungo Ayoub Idrisa Semtawa.