Search

Sports in brief 

Vilabu vyathibitisha kuogelea

Vilabu nane vya mchezo wa kuogelea nchini Tanzania vimethibitisha kushiriki katika michuano ya majaribio ambayo imeandaliwa na chama cha kuogelea nchini Tanzania (TSA) ili kuchagua wachezaji watakaoiwakilisha nchi katika michuano ya ubingwa wa Afrika CANA zone ya tatu na ya nne michuano itakayofanyika Msumbiji.

Mshauri wa Ufundi wa TSA Marcelino Ngaliona amesema jijini Dar es salaam jana kuwa chama chake kimevishauri vilabu vya kuogelea mikoani kuratibu mashindano na kuchagua waogeleaji bora ambao wataghirijki katika michuano hiyo ya majaribio.

Michuano hiyo ya majaribio itafanyuika February 4th katika shule ya Heavens of Peace Academy HOPAC iliyoko Kunduchi jijini Dar es salaam.

Print

 More Sports in Brief

Mchezo wa marudiano wa michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya timu ya Zamalek ya Misri na Yanga ya Dar es Salaam unaweza kufanyika nchini Algeria ama Sudan, endapo mamlaka za Misri zitakataa mchezo more
Shirikisho la Ngumi za Ridhaa Tanzania (TBF), juzi iliteua mabondia 17 watakaoingia kambini kujiandaa na mashindano ya kufuzu Michezo ya Olimpiki itakayofanyika London, Uingereza baadaye mwaka huu. Mashindano more
Kocha mkuu wa vinara wa Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara, Simba, Mserbia, Milovan Circovic, ameanika kikosi cha wachezaji 18 ‘waliokwea pipa’ jana kwenda Kigali Rwanda tayari kwa mechi ya awali more
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limeishusha daraja timu ya AFC Arusha kutokana na kushindwa kutokea uwanjani. AFC ya Arusha ilishindwa kutokea kwenye mechi ya Kundi C ya Ligi Daraja la Kwanza dhidi more
Yanga imegoma kuipa nafasi Simba kutawala kileleni kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya jana kuifunga Ruvu Shooting bao 1-0 katika mchezo wa ligi hiyo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Kutokana more
Ofisi za Chama cha Gofu Tanzania (TGU) sasa zimehamia Klabu ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Lugalo jijini kutoka Gymkhana Dar es Salaam (DGC). Ofisa Tawala wa TGU, Sophie Nyanjera alithibitisha more
Mabingwa wa soka Tanzania Bara, Yanga, Jumatano watakuwa wenyeji wa Mtibwa Sugar katika muendelezo wa mechi za Ligi Kuu itakayochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Kwa mujibu wa ratiba ya more
Yanga sasa imetamka rasmi kuwa inataka mechi yao na Zamalek katika Ligi ya Mabingwa Afrika iwe moja kwa sababu ya hali ya usalama nchini Misri si nzuri. Akizungumza Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu wa more
Timu ya soka ya Azam ya Dar es Salaam jana ilipanda kwa nafasi moja kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kuifunga JKT Oljoro mabao 3-0. Mchezo huo ambao ulikuwa wa vuta nikuvute ulifanyika more
Shirikisho la Soka Nchini (TFF) limesema linasubiri taarifa kutoka Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) na Chama Cha Soka nchini Misri (EFA) kuhusu hali ya usalama nchini Misri. Katibu Mkuu wa TFF, Angetile more
News Poll

 Prime Time

19 00
19 50
  eNEWZ
20 00
  URBAN HEAT
20 55
  MUHTASARI WA MICHEZO
21 30
  URBAN HEAT
21 50
  KURASA
22 00
  TOP 10

 EATV Shows