Sports in brief
Shirikisho la Ngumi za Ridhaa Tanzania (TBF), juzi iliteua mabondia 17 watakaoingia kambini kujiandaa na mashindano ya kufuzu Michezo ya Olimpiki itakayofanyika London, Uingereza baadaye mwaka huu.
Mashindano hayo ya mchujo yatakayoshirikisha mabondia kutoka nchi mbalimbali, yatafanyika Morocco Aprili.
Katibu Mkuu wa BFT, Makore Mashaga alisema mabondia hapo, ambao Jumatano na Alhamisi walishiriki mapambano ya mchujo kwenye Uwanja wa Ndani, Jumanne watakutana na makocha pamoja na waamuzi kuzungumzia kambi hiyo.
Print
More Sports in Brief
Prime Time
EATV Shows