Sports in brief
Mchezo wa marudiano wa michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya timu ya Zamalek ya Misri na Yanga ya Dar es Salaam unaweza kufanyika nchini Algeria ama Sudan, endapo mamlaka za Misri zitakataa mchezo huo ufanyike jijini Cairo.
Zamalek SC maarufu kama ‘El Blanco ‘ watakuwa wenyeji wa Yanga katika mchezo huo, ambao
ukiwa umegubikwa na mazingira ya utata wa wapi mchezo huo utafanyika kutokana na hali ya
sasa ya usalama iliyopo nchini Misri .
Zamalek imepokea mapendekezo kutoka kwa klabu ya ES Setif ya Algeria pamoja na Al
–Hilal ya Sudan ambazo zimeomba kuwa wenyeji wa mchezo huo.
Print
More Sports in Brief
Prime Time
EATV Shows