Search
Sat 19:00
Sun 17:00
Wed 12:00
Akudo waongeza nguvu
Monday, 20th Feb, 2012

Bendi ya muziki wa Dansi ya Akudo Impact ya jijini Dar es salaam imeongeza nguvu katika safyu yake ya uimbaji kwa kuongeza wanamuziki watatu kutoka DRC, na wanamuziki hao wapo katika program maalumu ya kutambulishwa katika maonyesho yote yanayofanywa na bendi hiyo kwa hivi sasa.

Print

 Comments     

Be the first to comment
You are not logged in.Login or Sign UP to comment

 Next On:

Je pengo la Fergason ndani ya Extrabongo limezibwa? angalia AfroBeat jumamosi hii saa moja jioni kupitia EATV Pekee

 EATV Shows

Episodes

Kikundi cha ngoma cha za asili cha Mawazo chaonyesha kuwa wao ni wakali wa ngoma za asili more
Mnenguaji wa Twangapepeta aitwae Fasha aonyesha umahiri wake katika unenguaji more
Mshiriki wa mashindano ya kutafuta vipaji ya Temeke akifanya mambo yake  more
 Mwanamziki mkongwe nchini Tanzania, Ally Choki amelalamikia kitendo cha wasanii wa timu ya Bongo Movie kuchezesha wachezaji more
Mkurugenzi wa Twangapepea Asha Baraka amesema hababaiki na kuondoka kwa wanamuziki wake. more

News

Galleries