NIRVANA

Synopsis

NIRVANA is hip and edgy. It explores the latest trends in fashion, art, style and recreational activities. NIRVANA speaks to the trend makers, shapers and observers. Its a one stop shop for everything trendy.
Language:
Kiswahili
Show Duration:
60 Minutes

NEXT ON

Usikose kuangalia Nirvana Jumanne hii sa moja usiku kuona ile 'exclusive show' ya tamasha lililobamba wiki hii la Mafikizolo. Utapata ona watu walivyotokelezea, mahojiano ya Mafikizolo wenyewe na pia jinsi walivyolimiliki jukwaa.
Broadcast Time:
Tuesdays 19:00 Hrs
Lotus Kyamba
Deogratius Kithama

Sponsored BY