Dress for Less
Nirvana inakuonyesha ni jinsi gani unaweza ukavaa vizuri na kupendeza kwa bei nafuu sana, hii inaitwa dress for less, sio lazima kuwa na pesa nyingi ili kuonekana unaenda na wakati kwenye swala zima la fashioon
Martin Kadinda
Martin Kadinda akielezea collection yake ya 'KwachuKwachu' na ni vipi ana mpango wa kufanya mapinduzi hadi vazi hilo liwe vazi la taifa
KwachuKwachu
Martin akielezea 'materials' anayotumia kutengenezea vazi la 'KwachuKwachu' na utofauti wa vazi hilo na mavazi mengine ya Afrika magharibi