Photoshoot na Albert Manifester
Kwa mara ya kwanza Deo na Lotus wakifanya photoshoot na mpiga picha maarufu hapa nchini Albert Manifester , angalia pozi tofautitofauti ambazo walizifanya kwenye photoshoot hiyo
Photoshoot na Albert Manifester 2
Photoshoot ikiendelea huku Albert akielezea sanaa nzima ya upigaji picha na changamoto wanazopitia mara kwa mara
Kili Awards 2013
Tukiwa tunaelekea kwenye zile tuzo kubwa za muziki Tanzania Kili awards, Nirvana tunakurudisha nyuma kwenye tuzo zilizopita za 2013 na kukuonyesha jinsi watu walivyotokelezea kwenye red carpet