Mafikizolo LFashion Police
Blue carpet ya tamasha la Mafikizolo lililofanyika Dar hivi karibuni na kuhudhuriwa na maelfu ya watu
Deo akiongea na baadhi ya washabiki ambao wametoka kila kona ya nchi kwa ajili ya tamasha la Mafikizolo .
Mafikizolo wakipagawisha mashabiki pale walipopanda jukwaani na kuanza kutumbuiza nyimbo zao ambazo zinapendwa na watu.