Niller David
Top Model wa Tanzania Niler David akiongelea mashindano ya Top Model world yaliyofanyika nchini Egypt na yeye kushika taji la miss photogenic
Emails
Deo na Lotus wakisoma emails pamoja na facebook comments ambazo watazamaji wa Nirvana wamekuwa wakituma kuhusiana na kipindi.
Reel cinema
Movie ya wiki hii ni 'The other woman' ambayo inaelezea jinsi wanawake wanavyojikuta wawote wakitembea na mwanaume mmoja.