Salim Ali
Mbunifu anayechipukia Salim Ali akionesha Mavazi yake yanayopatikana kwenye 'collection' yake mpya
Dondoo za Urembo
Lotus akionyesha ufundi wa kupaka 'make up' nyingi lakini ukaonekana wa asili yani 'Natural' hii inaitwa 'Contuaring'
Salim Ali
Mbunifu Salim Ali akiendelea kuongelea sanaa yake ya ubunifu na changamoto anazopitia