KITENGO - DJ Mafuvu a.k.a AD
Pata kumjua zaidi,DJ Mafuvu aka AD- the table turner akituelezea historia yake, kwanini ana penda kuwa DJ na style yake ya ku-spinn.
KITENGO - DJ Mafuvu
Planet Bongo tukiwa pamoja na DJ Mafuvu anatupeleka mpaka nyumbani kwao uko Mtoni karibu na Temeke. Pia tuna pata story kutoka kwa kaka yake juu ya utundu na uwezo wa Dj Mafuvu toka zamani.
MGODI - Trial
Single yake yenye video ni: Having fun, muone Trial mgodini akielezea kuhusu kipaji chake na umuhimu wa yeye kama msanii kutoa nyimbo chache kwa mwaka.