Search
Wed 21:00
Thu 13:30
Sat 14:30
Bibi Cheka na mjukuu wake.
Tuesday, 24th Jan, 2012

Anafahamika kama Bibi Cheka au Bi Cheka unaweza kumuita hivyo yote sawa,hiki ni kipaji kipya kwenye tasnia hii ya muziki wa kizazi kipya maarufu kama Bongo Fleva,kwa mara ya kwanza akutana  uso kwa uso na Mh Temba mmoja kati ya wasanii wakongwe wa muziki wa Bongo Fleva hapa nchini Tanzania,ambae anatoka kwenye kundi kongwe pia la muziki wa Bongo Fleva Wanaume Family ambalo lipo chini ya Saidi Fella,

 Bi Cheka na Mh Temba wamefanikiwa kupiga mkwaju mkali unaoitwa Ni wewe.Ni moja kati ya kazi ambazo inasemekana itakuja kufanya vizuri sana kwenye medani ya muziki huu wa Bongo Fleva.

Print

 Comments     

Be the first to comment
You are not logged in.Login or Sign UP to comment

 Next On:

Usikose kumuangalia Bi Cheka kwenye kipindi cha Planet Bongo wiki hii.

 EATV Shows

Episodes

wale wakali walionza kwa kasi kubwa katika tasnia ya bongo fleva sasa wamesambaratika. more
Mkali wa Hip hop Tanzania sugu akizungumzia juu ya ant virus. more
Mkali wa miandoko ya bongo flaver Rich mavoco sasa adondosha mzigo mkali wa video toka kwa Adam Juma. more
Mkali wa miondoko ya hiphop Nick wa Pili akizungumzia mavazi yaliyotumika katika video ya Kiujamaa more
Imekuwa ni kitambo sana mkali huyu kuonekana katika Planet Bongo. more

News

Galleries