Search
Wed 21:00
Thu 13:30
Sat 14:30
Mjukuu na Majani
Tuesday, 3rd Jan, 2012

Imekuwa ni mara chache sana kwa mtu kuweka wazi kwamba ameshindwa kufanya kitu fulani, lakini  kwa mtayarishaji wa Muziki wa kizazi kipya na Muasisi wa Muziki huo maarufu kwa jina la Majani imekuwa ni tofauti kwake.

P Funk amekuwa kimya kwa muda na kimya chake si kukwama bali alikuwa na matatizo ya kifamilia.  Alikumbwa na matatizo hayo lakini amesema kwamba sasa amerudi kwenye muziki na anataka kufanya  wa kimataifa zaidi na mpaka sasa keshafanya kazi na wasanii kadhaa kutoka nje ya Tanzania ....              hayo yote ni kupitia Planet Bongo ya Eatv na Mjukuu wa Ambua.

Print

 Comments     

Be the first to comment
You are not logged in.Login or Sign UP to comment

 Next On:

 Wakali wa muziki wa Hip hop kutoka Arusha kwenye bonge la show.

 EATV Shows

Episodes

 Mkali  wa kuchekesha sasa afanya muziki. more
 Abamto chipukizi mwenye hasira. more
 Mkali wa miondoko ya Bongo Fleva Diamond sasa amefunguka kuhusu mwanzo wa mapenzi kati yake na Wema Sepetu. more
wale wakali walionza kwa kasi kubwa katika tasnia ya bongo fleva sasa wamesambaratika. more
Mkali wa Hip hop Tanzania sugu akizungumzia juu ya ant virus. more

News

Galleries