Kila mwaka wabunifu wanakuja na njia mpya katika ubunifu wa mapazia. Mwaka 2014 kwenye ubunifu wa mapazia wamekuja na mapazia yanayoendana na rangi ya mwaka 2014 pamoja na Accessories zake.
Huu ni ujio wa pavers mpya ambazo zimeanza kuzalishwa 2013 zikiwa ni pavers za kila rangi na za kawaida itegemea na mahitaji ya mteja.
kutana na mtaalamu wa mapazia ambaye atakuelezea kuhusu mapazia mapya ya mwaka 2014.