Region: 
Kigoma
District: 
Kasulu
Donation: 
Taulo za kike kwa wanafunzi 100 mwaka mzima

Kampeni ya Namthamini 2021 imefika mkoani Kigoma, Halmashauri ya Mji wa Kasulu hadi Shule ya Sekondari Bogwe na kutoa mchango wa taulo za kike kwa wanafunzi 100 mwaka mzima.