Jinsi Mvua ilivyoleta athari Dar es salaam

Alhamisi , 16th Jan , 2020

Asubuhi ya kuamkia leo jijini Dar es salaam imeneyesha mvua kubwa na kupelekea usumbufu katika maeneo mbalimbali ya jiji hilo.

Mvua

EATV na EA radio Digital imepokea baadhi ya taarifa za awali katika maeneo mbalimbali ya jiji la hilo.

Mwenge

Zahanati ya Mwenge jijini Dar es salaam, pamoja na sehemu ya Barabara inayoendelea kujengwa kwenye eneo hilo, imezingirwa na maji yanayotokana na mvua iliyoanza kunyesha asubuhi ya leo, na kupelekea watumiaji wa barabara

Mwananyamala

Hali ilivyo maeneo ya Mwananyamala 'Peace Round About' kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es salaam.

Jangwani

Barabara ya Jangwani ililazimika kufugwa kutokana na eneo hilo kujaa maji yaliyotokana na Mvua.