Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam ACP Muliro Jumanne,
Ally Salehe akitoka kwenye Makao Makuu ya TFF kuchukua fomu ya Ugombea Urais wa shirikisho hilo kabla ya kuenguliwa kwenye kinyang'anyiro hiko.
Bradley Beal wa timu ya taifa ya Marekani na klabu ya Washington Wizard ambaye atakosekana kwenye mashindano ya Olympic mwaka huu nchini Japan.
Rais Samia Suluhu Hassan, akikagua gwaride la Jeshi la Jamhuri ya Burundi alipowasili Ikulu Ntare House Jijini Bujumbura Burundi
Picha ya Kajala akiwa na mwanaye Paula
Picha ya Msanii Azma Mponda
Picha ya Miss Tanzania 2020 na Azama Mashango
Nyoshi El Sadaat upande wa kushoto, kulia ni Bright Music
Polisi wakikabiliana na uporaji katika maduka nchini Afrika Kusini
