Jumamosi , 28th Mar , 2020

Waziri wa Afya Zanzibar Hamad Rashid, ameeleza kuongezeka kwa mgonjwa mwingine wa Corona ambaye ni Mtanzania.

Waziri Hamad Rashid amesema mgonjwa huyo aliingia Zanzibar akitokea nchini Uingereza, ambapo huyo anakuwa mgonjwa watatu kuliropitiwa visiwani humo.

Wakati huo Tanzania bara Waziri Mkuu Majaliwa amepokea msaada wa vitu na pesa taslimu kwa ajili ya kusaidia kupambana na corona