Peter Kibatala apata pigo

Ijumaa , 12th Jan , 2018

Wakili msomi Peter Kibatala ambaye pia ni mwanachama wa Chama Cha Demokrasia na Mkurugenzi wa Sheria na Katiba Maendeleo (CHADEMA) amepata pigo baada ya kumpoteza mama yake mzazi Bi. Anna Mayunga ambaye amefariki jana.