Jumamosi , 28th Mar , 2020

Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya amefunguka na kusema anamuombea Mbunge wa Hai Freeman Mbowe asikutwe na maambukizi ya Virusi vya Corona, baada ya Mbunge huyo kuamua kujiweka Karantine mwenyewe baada ya mtoton wake mmoja kubainika kuwa na Corona.

Sabaya ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na EA Radio na EATV Digital, ambapo amesema amehamasisha wachungaji kumuombea kiongozi huyo, ili apone haraka na awe shuhuda wa tatizo hilo kwa jamii.

Tazama video kamili hapo chini.