Jumapili , 16th Mei , 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, atawaapisha Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Taasisi Jumatano Mei 19, 2021 katika ukumbi wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam kuanzia saa 4:00 Asubuhi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.

Soma taarifa ya Ikulu hapo chini