Jumanne , 5th Oct , 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameelekeza kupunguzwa kwa tozo kwenye Mafuta zenye thamani ya Bilioni 102 kwa mwaka, lengo likiwa ni kupunguza bei ya mafuta nchini.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan

Soma zaidi taarifa ya Ikulu hapa