
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda
8 Oct . 2022

Kamishna wa Sera wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Elijah Mwandumbya (kushoto), akifuatilia michango ya wadau wa ukusanyaji wa mapato yasiyo ya kodi, wakati wa Semina ya taratibu za ukusanyaji wa mapato hayo, jijini Dodoma. Kulia ni Mchumi mkuu wa Idara ya Sera, Bw. Jamal Nchula.
8 Oct . 2022