Mkurugenzi wa zamani wa Mipango, Ufuatiliaji na Tathimini wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Kulthum Mansoor
Wa pili Kushoto mmiliki wa kituocha Pedderef Nuru Salehe akikabidhiwa misaada kutoka kwa Mkurugenzi wa kampuni ya Meridian Bet Chetan Chudasama
Rais wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF) Ahmad Ahmad
Aliyekuwa mgombea urais kupitia chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA Tundu Lissu
Wa pili kulia Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Aboubakari Kunenge akisikiliza maelezo ya utendaji kazi kitengo cha dharura cha hospitali ya taifa ya Muhimbili
Kushoto ni mbunge wa Mbeya Mjini kupitia CCM, Dkt. Tulia Ackson, na kulia ni mbunge mstaafu wa jimbo hilo kupitia CHADEMA, Joseph Mbilinyi (Sugu).
Zlatan Ibrahimovic (Katikati) akipongezwa na mlinzi Theo Hernandez (Kulia) baada ya kupachika bao katika mchezo dhidi ya Napoli.
Wachezaji wa Yanga na Namungo wakizozana katika mchezo wa jana wa VPL uliomalizika kwa sare ya bao 1-1.
