Ijumaa , 18th Jun , 2021

Mkongwe Q Chief amesema kuwa Extended Play (EP) yake ‘Pasi ya Mkaa’ itakuwa na jumla ya nyimbo 3 na anatarajia kuiachia siku ya Jumatatu wiki ijayo huku kukiwa na collabo na mwanae.

Picha ya msanii Q Chief

Pia Chilla tayari ameachia cover ya EP hiyo ambayo anasema imegusa maisha halisia ya mtu ambaye amepambana kwa muda mrefu bila kuyumbishwa na changamoto mbalimbali ambazo amekumbana nazo.

 Tazama cover rasmi ya Ep ijayo ya Q Chief

Msikilize akizungumza hapa