Picha ya Moni Centrozone na Anjella
Moni Centrozone ameeleza hilo kupitia post yake ya Instagram akiwa na Anjella kwa kuandika
"Queen Anjella Tz, Watu wa Majengo itabidi utuchapie kibwagizo kwenye mdundo mmoja wa HipHop. Itakuwa collabo yangu ya kwanza na msanii wa kike".





