Ijumaa , 8th Apr , 2022

Msanii Davido (OBO) anasema kwa usiku mmoja tu anaotoka anatumia pesa si chini ya Dolla 30,000 sawa na Tsh Milioni 69 na ushee.

Picha ya msanii Davido

Davido anasema anafanya hivyo kwa kuhamasisha sio kujigamba au kunyanyapaa.

Wiki iliyopita Davido aliweka wazi kuingiza Tsh Bilioni 2 kwa siku baada ya shabiki mmoja kumdhihaki mtandaoni.