Jumanne , 5th Apr , 2022

Muongozaji bora wa video tuzo za Tanzania Music Awards 2021, Director Hanscana amesema sio kama hapendi kuwa na mwili bali kufanya kazi kwa bidii usiku na mchana kunamfanya asipate mwili au kunenepa.

Picha ya Director Hanscana

"Nafanya kazi kwa bidii sana. Si unaniona mimi sikui, nakonda unadhani sipendi kuwa na mwili ila nashoot kila siku kama hapa nimetoka location kuja kuchukua tuzo halafu naenda kubadilisha nguo narudi tena location". amesema Hanscana