Ijumaa , 14th Oct , 2022

Producer wa mziki Bongo Fraga ametusanua kwamba msanii Harmonize ana roho ya kutoa kwa sababu akikutana naye huwa anampa Tsh Laki Tatu mpaka Laki Nne kama nauli tu.

Picha ya Producer Fraga na Harmonize

Producer huyo tayari ameshamtengenezea msanii huyo Hits mbili kama ngoma ya 'Bado' na 'Happy Birthday'.

Zaidi mtazame hapa kwenye video akizungumzia suala hilo.