Jumatano , 6th Apr , 2022

Msanii Ibraah Tz amekana kuwa na mtoto na mwanamke anayefahamika kwa jina la Kim Mishepu ambaye alitoa taarifa za kuzaa na Ibraah mitandaoni lakini hamjali baada ya kupata umaarufu.

Picha ya Ibraah na mwanamke anayedai kuzaa naye

Ibraah amekanusha taarifa hzio kwa kusema ni kweli alikuwa na mtoto lakini amefariki baada ya miezi mitano, pia mtoto huy alimpata na mwanamke anayeitwa Pendo sio Kim Mishepu.

Zaidi tazama hapa kwenye video.