
Taarifa hizi zimetolewa na mwana michezo Dov Kleiman na kusambaa kwa kasi kwenye mitandao kuanzia Juni 22, 2025. Hata hivyo, hadi sasa hakuna uthibitisho rasmi kutoka NFL wala Roc Nation kampuni ya Jay Z inayosimamia Halftime Show tangu 2019.
Ikimbukwe kuwa Rapa Jay Z ndio anaratibu masuala yote ya burudani kuhusu msanii gani atapanda na nani burudani gani itafanyika muda gani hivyo kama atatumbuiza katika hafla hiyo atakuwa ameamua kujipa mashavu hayo kutoka kwenye kampuni yake kuja kwake kama msanii