Jumatano , 12th Oct , 2022

Miss Tanzania 2010 Genevieve Tz amejibu kauli ya Nandy akisema ni muda wa wasanii wa kike kuwa juu kimuziki kwa kusema awe mkweli na uhalisia katika hilo kwa sababu wasanii wa kike ni ngumu kupeana sapoti. 

Picha ya Genevieve

"Maneno yake ni mazuri lakini yanatakiwa yawe ya ukweli maana kuongea ni rahisi, vitu vinatakiwa viwe kiuahalisia kuanzia kusapotiana kwa wasanii wa kike kwa sababu hilo halipo" amesema Genevieve

Zaidi mtazame hapa kwenye video akizungumzia suala hilo.